Ad
Ad

Top Stories

Mpango ashiriki ibada ya Pasaka Dodoma (+picha)

on

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango, akizungumza na Waumini wa Dini ya Kikristo na Watanzania katika Ibada ya Misa Takatifu ya kuadhimisha Sikukuu ya Pasaka iliyofanyika leo April 04,2021 katika Kanisa Kuu Katoliki Jimbo Kuu la Dodoma.

Soma na hizi

Tupia Comments