AyoTV

Video zenye magoli ya kukumbukwa Kombe la Mapinduzi 2016 …

on

Usiku wa January 13 n siku ambayo michuano ya Kombe la Mapinduzi kwa mwaka 2016 ilimalizika visiwani Zanzibar kutoka katika uwanja wa Amaan. Michezo kadhaa tuliona ikivutia kwa soka na vituko vya mashabiki. Mtu wangu wa nguvu, naomba nikusogezee video zenye magoli ya kukumbukwa katika michuani ya Kombe la Mapinduzi mwaka 2016.

Video ya magoli ya fainali URA Vs Mtibwa Sugar

Yanga 1-1 URA

Mtibwa Sugar 1-0 Simba

Simba 1-0 JKU 

Azam FC 1-2 Mafunzo

Mtibwa 1-2 Yanga

URA 0-1 Simba

Mtibwa 1-0 Mafunzo

Azam FC 1-1 Yanga

Simba 2-2 Jamuhuri

Mtibwa 1-1 Azam FC

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Tupia Comments