AyoTV

VIDEO: Ni kweli kuna ugonjwa mpya wa hatari Tanzania?

on

Moja ya taarifa iliyokuwa ikienea hivi karibuni ni taarifa za kuibuka kwa ugonjwa mpya wa hatari ulioingia Tanzania, leo April 19, 2017 Waziri wa Afya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu pamoja na Katibu Mkuu wa wizara hiyo Dk. Mpoki Ulisubisya  wametolea ufafanuzi wa taarifa hizo wakiwa Dodoma.

Full video nimekuwekea hapa chini…

VIDEO: Maamuzi ya serikali kuhusu Madaktari 258 waliotakiwa kwenda Kenya 

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments