Michezo

Jinsi Ujerumani ilivyopokelewa nyumbani baada ya Kombe la dunia.

on

germ1
Makumi kwa maelfu ya mashambiki wa mpira wa miguu nchini Ujerumani wametoa mapokezi ya kishujaa kwa timu yao iliyoshinda Kombe la dunia mjini Berlin.

Sherehe kubwa zilifanyika katika eneo la Brandenburg Gate, ambako wachezaji walilionyesha kombe la dunia katika jukwaa kubwa wakati wakicheza muziki.

Watu wengi walikusanyika kuwapokea wachezaji hao walioshuka kutoka Brazil leo huku makundi makubwa ya watu yakieleka mjini kwa mapokezi hayo makubwa.

GERMAN2

german3

german4

german6

german7

Tupia Comments