Top Stories

Kikwete amuaga Muasisi wa Mageuzi ya Vyama vingi nchini Mapalala (+picha)

on

Rais Mstaafu Kikwete ameshiriki katika kuaga Mwili wa James Mapalala muasisi wa mageuzi ya Vyama vingi nchini nakusema  “Kwa heri Mzee James Mapalala. Utakumbukwa daima kwa mchango wako muhimu uliotoa katika kukuza na kuendeleza demokrasia ya vyama nyingi nchini. Kapumzike kwa Amani”.

MAGUFULI ATOKA IKULU NA MKEWE, ATINGA NYUMBANI KWA MZEE MAHIRI ALIEACHA MKE

Soma na hizi

Tupia Comments