Top Stories

“Hatuagizi samaki Nje ya nchi, Bilioni 56 tutazila hapa na Wavuvi” Mpina (+video)

on

Serikali imepenguza kiasi cha uagizaji samaki Nje ya nchi kutoka kiasi cha Shilingi Bilioni 56 kila mwaka hadi kufikia Bilioni 17 kwa mwaka 2017/18

Akitoa mwelekeo wa takwimu ya uagizaji samaki kwa mwaka huu katika uzinduzi wa Chama cha Ushirika wa Wavuvi Igombe Mkoani Mwanza Waziri wa Mifugi na Uvuvi Luhaga Mpina amesema “Mwaka huu wa fedha hatutarajii kutumia hata senti moja ya kununua Samaki kutoka nje kwa sababu mtavua na samaki wataliwa hapahapa na Bilioni 56 tutazila” Luhaga Mpina

LIVE: ZIARA YA RAIS MAGUFULI MKOANI RUKWA, ANASIKILIZA KERO

Soma na hizi

Tupia Comments