AyoTV

VIDEO: Alichofanya Jokate kwa Wanawake na Watoto Ramadhan hii

on

Kusaidia watu wasiojiweza na wenye uhitaji ni kazi ya siku nyingi ambapo tumekuwa tukishuhudia Mrembo Jokate Mwegelo jinsi anavyogusa watu mbalimbali mtaani ambapo mara hii ilikuwa zamu ya kuwakumbuka watoto na wanawake wa Kituo cha Ahbaabul Khairiya kwa kuwapa zawadi mbalimbali.

EXCLUSIVE: Hii ni sababu ya Q Chillah kutoa machozi kwenye XXL ya Clouds FM!!!

Soma na hizi

Tupia Comments