Habari za Mastaa

Majibu ya Mrisho Mpoto kwanini Hakutembea peku Mlima Kilimanjaro

on

Ni kawaida yake msanii Mrisho Mpoto kuonekana peku kwenye sehemu mbalimbali ambapo hivi karibuni aliamua alikwenda kwenye Mlima Kilimanjaro lakini hakutembea peku kama ilivyo kawaida yake.

Picha zimesambaa na ukiona comments wengine wanauliza mbona hakutembea peku time hii? anajibu >>> ‘Nimeona watu wananiuliza, ni kwasababu kulikuwa na baridi kali na mpaka maji ya kunywa yenyewe tulikuwa tunayafunika na vitambaa

Unahitaji kumsikiliza Mrisho Mpoto zaidi? bonyeza play hapa chini

ULIIKOSA YA MRISHO MPOTO ASIMULIA JINSI RAIS JK ALIVYOHISI WIMBO WA ‘MJOMBA UNAMSEMA YEYE BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments