on air with millardayo

Exclusive: Mrisho Mpoto asimulia jinsi Rais JK alivyohisi wimbo wa ‘Mjomba’ unamsema yeye

on

Mrisho Mpoto alipata nafasi ya kukaa kwenye Interview na Mtangazaji wa Radio na blogger Millard Ayo na kueleza mambo mengi ikiwemo maisha na historia yake ila kwa leo utafahamu jinsi wimbo wa Mjomba ulivyomkutanisha na Rais Kikwete.

Mpoto anasema wimbo huo ulipotoka ilikua shida baada ya wimbo kuonekana kama unamzungumzia Rais Kikwete, yote yaliyotokea Mrisho Mpoto kayasimulia hapa chini kwenye hii video.

Kama una comment yoyote kwa Mrisho Mpoto unaweza kumuachia hapa chini ili ajue pia watu wake wanasemaje..

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments