Habari za Mastaa

Mrisho Mpoto amuandikia Afande Sele baada ya kumsema Kanumba “nimesoma ulichoandika zaidi ya mara 30”

on

Afande Sele aliandika kwa kirefu sana jana baada ya hukumu ya Lulu na kuonyesha kumlaumu Marehemu Steven Kanumba kwa kuingia kwenye uhusiano wa kimapenzi na Lulu wakati akiwa na umri mdogo kabisa.

Baada ya Mrisho Mpoto kuona hicho alichoandika Mfalme huyo wa Rhymes leo amemuandikia yafuatayo “Wewe ni kaka yangu na Mwandishi ambae sijawahi kuacha kuheshimu maandishi yako, nimesoma maandishi kwenye ukurasa wako zaidi ya mara 30

Ile barua ulimwandikia Marehemu Kanumba ulitaka imfikie? au ulitaka wanaokwenda nyuma yake wamfikishie? mbona nimepata kusikia Marehemu huwa halaumiwi kwakuwa hana uwezo wa kujitetea?”

Mengine zaidi aliyoyaandika Mpoto utayapata ukibonyeza play hapa chini

VIDEO: HALI ILIVYOKUA MAHAKAMANI BAADA YA LULU KUHUKUMIWA MIAKA MIWILI JELA

VIDEO: LULU AKIPELEKWA GEREZANI… TAZAMA HAPA CHINI ILIVYOKUA

Soma na hizi

Tupia Comments