Habari za Mastaa

Mabibi na mabwana Dully Sykes na Harmonize wametuletea mdundo mpya ‘Inde’

on

Inawezekana kabisa ulishawahi kutamani kusikia mchanganyo wa sauti za mastaa wa bongo flavour Dully Sykes na Harmonize zikiwa kwenye mdundo mmoja, kama jibu ni ‘yes’ basi tayari kazi imekamilika kwenye hii ngoma inayoitwa ‘Inde’ ambayo imefanyika katika studio ya Wasafi records huku ikiwa imetengenezwa na producer Lizer.

Kuusikiliza unaweza kubonyeza >>>HAPA

WhatsApp Image 2016-08-11 at 19.27.04ULIIKOSA HII EXCLUSIVE  INTERVIEW NA HARMONIZE – PART 1

Soma na hizi

Tupia Comments