Habari za Mastaa

Nakukaribisha kuisikiliza hii single mpya aliyoshirikishwa Feza Kessy na rapper kutokea Zambia

on

.

.

Ni mrembo wa Kitanzania ambae aliiwakilisha nchi kwenye shindano la Big Brother Africa 2013, Feza Kessy time hii ameshirikishwa kwenye single mpya iitwayo Living my life na rapper Macky 2 kutokea Zambia.

Unaweza uka bonyeza play kusikiliza #Livingmylife

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter Instagram,  na Facebook,  ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook

Tupia Comments