Mix

Mpya kuhusu ndege ya Malaysia iliyopotea.

on

malay

Eneo jipya la kutafuta ndege ya Malaysia iliyopotea limetangazwa na serikali ya Australia baada ya taarifa mpya za Satellite kutolewa.

Kwa mujibu wa waziri mkuu Warren Truss, zoezi la utafutaji wa ndege hiyo sasa litahamia Kusini kuegemea eneo la kilomita 1,800 kutoka Pwani ya Magharibi ya Australia.

malay2

Ndege ya MH370 ilipotea wakati wa safari yake kutokea Kuala Lumpur kwenda Beijing Machi 8 mwaka huu ikiwa na abiria 239 ndani yake.

Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>> twitter Insta FB

Tupia Comments