Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Mradi wa barabara ya lami Handeni-Singida kwa utaratibu wa EPC+F kutatua changamoto za usafirishaji
Share
Notification Show More
Latest News
Waziri Mkuu ashtukia mchezo mchafu Kigoma, ‘zinapotea kinyemela, naleta timu’
September 22, 2023
Waziri wa Michezo, Dkt Damas Ndumbaro ajiuzulu nafasi hii kwenye uongozi wa TFF
September 22, 2023
GSM Home wamekuletea ‘Gulio la Kibabe’, haijawahi tokea wahi sasa, Ommy Dimpoz afunguka
September 22, 2023
Arsenal haihitaji motisha ya ziada dhidi ya Spurs- Arteta
September 22, 2023
Derby ya London Kaskazini huko Arsenal ni ‘changamoto kubwa’ – Postecoglou
September 22, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Mradi wa barabara ya lami Handeni-Singida kwa utaratibu wa EPC+F kutatua changamoto za usafirishaji
Top Stories

Mradi wa barabara ya lami Handeni-Singida kwa utaratibu wa EPC+F kutatua changamoto za usafirishaji

August 17, 2023
Share
3 Min Read
default
SHARE

Habari ya Asubuhi na karibu kwenye matangazo yetu hii leo Alhamisi 17.8.2023

Wakala wa barabara nchini-TANROADS imeendelea na hatua za kwanza za utekelezaji wa wa kujenga barabara itakayounganisha mikoa ya Tanga, Manyara hadi Singida kupitia Handeni – Kiberashi – Kijingu  – Kibaya – Njoro – Olboroti – Mrijo Chini – Dalaibicha – Chambolo – Chambolo – Chemba – Kwa Mtoro  – Singida 389 km inayojengwa kwa kutumia utaratibu wa Engineering, Procurement, Construction and Financing (EPC +F ambayo ni dhana inayompa majukumu mkadarasi ya kufanya usanifu wa mradi, ununuzi wa vifaa, ununuzi wa makandarlsi wengine wa mradi.

Katika hatua hizi za mwanzo TANROADS kama msimamizi wa mradi huu tayari imeshafanya ukaguzi wa barabara itakayounganisha mikoa hiyo mitatu  ili kutathmini utekelezaji wa mradi huo ambapo vitawekwa vituo vikuu vinne  katika mikoa hiyo ambavyo vimegawanywa kutokana na upatikanaji wa malighafi zitakazotumika katika ujenzi wa Barabara  pia kuwashirikisha wananchi waufahamu mradi ili wawe walinzi wa kwanza ili kuepuka kuharibiwa kwa miundombinu.

Aidha, Wananchi wa maeneo ambayo mradi huu utapita hawakuwa nyuma kuonyesha furaha yao ni kwa jinsi gani watanufaika na barabara hihi itakayojengwa kwa kiwango cha lami, akiongea na MillardAyo.com ndugu Musa Rajabu ambaye ni Mwenyekiti wa kijiji cha Unyaghumpi ameweka wazi changamoto zinazowakumba na ambazo zitatuliwa baada ya mradi huo kukamilika

“Hii Barbara ni changamoto kwa sababu magari yanapita lakini kwa sida na huchangia kuharibika kwa vtyombo vya usafiri lakini pia kufikia mahitaji ya msingi kama hospitali kwa mama wajawazito wakati wa kujifungua  imekuwa ni changamoto na kusababisha wajawazito kujifungua wakiwa safarini kuelekea hospitali” alisema Musa Rajabu

Ikumbukwe kuwa changomoto za usafirishaji wa mazao ya biashara yakiwemo pamba pamoja na yale ya chakula Pia ufikiwaji wa huduma za kijamii zote kwa pamoja zinaenda kurahisihwa baada ya ukamilifu wa mradi huu ambar uzo chini ya utaratibu wa EPC+F ambar unauinifaissha serikali moja kwa moja kwa kuisaidia serikali kupata fedha za utekelezaji wa mradi kwa mkupuo lakini pia kuiondoloea serikali kukumu la usanifu wa iradi hivyo kuharakisha utekelezaji wa mradi kwa wakati hivyo kuondoa changamoto za usafarishaji kwa baraka baada ya kukamilika kwa mradi huu

You Might Also Like

Waziri Mkuu ashtukia mchezo mchafu Kigoma, ‘zinapotea kinyemela, naleta timu’

Waziri wa Michezo, Dkt Damas Ndumbaro ajiuzulu nafasi hii kwenye uongozi wa TFF

GSM Home wamekuletea ‘Gulio la Kibabe’, haijawahi tokea wahi sasa, Ommy Dimpoz afunguka

Arsenal haihitaji motisha ya ziada dhidi ya Spurs- Arteta

Derby ya London Kaskazini huko Arsenal ni ‘changamoto kubwa’ – Postecoglou

TAGGED: TZA HABARI
Geena TZA August 17, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Habari kubwa Magazetini Kenya leo August 17, 2023
Next Article Wahamiaji wanakabiliwa na masaibu nchini Tunisia
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Waziri Mkuu ashtukia mchezo mchafu Kigoma, ‘zinapotea kinyemela, naleta timu’
Top Stories September 22, 2023
Waziri wa Michezo, Dkt Damas Ndumbaro ajiuzulu nafasi hii kwenye uongozi wa TFF
Top Stories September 22, 2023
GSM Home wamekuletea ‘Gulio la Kibabe’, haijawahi tokea wahi sasa, Ommy Dimpoz afunguka
Top Stories September 22, 2023
Arsenal haihitaji motisha ya ziada dhidi ya Spurs- Arteta
Sports September 22, 2023

You Might also Like

Sports

Derby ya London Kaskazini huko Arsenal ni ‘changamoto kubwa’ – Postecoglou

September 22, 2023
Sports

Xavi kuongeza mkataba wa Barcelona hadi 2025

September 22, 2023
Top Stories

Kuelekea fainali ya polisi jamii DPA cup mashabiki wajigamba afisa michezo atoa neno

September 22, 2023
Top Stories

UN yaitaka Iran kuachana na sheria mpya kuhusu hijab

September 22, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?