Mawaziri wa zamani katika Serikali ya awamu ya tatu, Basil Mramba na Daniel Yona waliokuwa wakitumikia kifungo cha miaka miwili jela na baadae Mahakama ya Kisutu kuamuru wawili hawa kutumikia adhabu ya kifungo cha nje kwa kufanya usafi katika maeneo ya kijamii, Feb 8 2016 walikabidhiwa rasmi vifaa za usafi katika hospitali ya Sinza Palestina Dar es salaam.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE