Stori Kubwa

Picha 18 za mawaziri wa zamani Basil Mramba na Daniel Yona tayari kuanza kufanya usafi Hospitalini.

on

Mawaziri wa zamani katika Serikali ya awamu ya tatu, Basil Mramba na Daniel Yona waliokuwa wakitumikia kifungo cha miaka miwili jela na baadae Mahakama ya Kisutu kuamuru wawili hawa kutumikia adhabu ya kifungo cha nje kwa kufanya usafi katika maeneo ya kijamii, Feb 8 2016 walikabidhiwa rasmi vifaa za usafi katika hospitali ya Sinza Palestina Dar es salaam.

DSC_0245

February 8 2016 ilikua ni siku ya kukabidhiwa vifaa tu, Mawaziri hawa wataanza kufanya usafi February 9 2016

DSC_0247

Wananchi na ndugu wa wagonjwa wakishuhudia viongozi hao walipowasili katika eneo hilo la hospitali.

DSC_0249

DSC_0250

DSC_0254

DSC_0255

Basil Mramba akiingia katika jengo la hospitali hiyo kwa ajili ya kuonana na ofisa mazingira wa hospitali hiyo kwa ajili ya kupatiwa maelekezo ya sehemu ya kufanyia usafi

DSC_0256

DSC_0257

DSC_0258

DSC_0262

DSC_0265

DSC_0269

Wakipatiwa maelekezo ya sehemu ya kufanyia usafi katika hospitali ya sinza.

DSC_0277

DSC_0280

DSC_0292

DSC_0321

DSC_0361

DSC_0363

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments