Mix

VIDEO: “Singida walimpa nafasi Tundu Lissu, sasa hawana mtetezi” – Martha Mlata

on

Mbunge wa Viti Maalum Singida Martha Mrata ni miongoni mwa Wabunge waliopata nafasi ya kuwasilisha Bungeni mapendekezo katika makadirio ya bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2017/18 leo June 14, 2017 ambapo alilieleza pia Bunge changamoto zinazowakabili Wapiga Kura wa Jimbo la Singida Mashariki linaloongozwa na Mbunge wa CHADEMA Tundu Lissu…

VIDEO: Aliyefariki kwa moto Mwanza aagwa CCM Kirumba, Viongozi, Wabunge wahudhuria 

Soma na hizi

Tupia Comments