Top Stories

Mrema amjibu Msimamizi wa Uchaguzi “Nitamuona Rais kwa upuuzi sitagombea tena” (+video)

on

Mwenyekiti wa TLP Dkt. Augustine Mrema amemjibu Msimamizi wa Uchaguzi aliyedai wakala wa TLP alikunywa bia wakati akisimamia Uchaguzi “Nitakwenda kumuona Rais na nina imani atanisaidia”.

KWA MARA YA KWANZA FARU WEUPE KULETWA, WAZIRI AZUNGUMZIA

Soma na hizi

Tupia Comments