AyoTV

‘Mbatia atimize ahadi la sivyo nitavua nguo’-Mrema

on

Mwenyekiti wa bodi ya Parole Augustino Mrema  amemtaka mbunge wa Vunjo James Mbatia atimize ahadi yake ya kumpelekea mfuko wa sukari kilo 50 kila mwezi pamoja na majani kama alivyoahidi kwenye kampeni zake mwaka 2015.

Mrema amesema tangu Mbatia amekuwa mbunge hajawahi kwenda kumuona na ameongeza endapo hatampelekea sukari hiyo atavua nguo. Bonyeza play hapa chini kusikiliza

Fahamu kwa nini simu zinazuiliwa kwenye vituo vya mafuta, Bonyeza play hapa chini kusikiliza 

Soma na hizi

Tupia Comments