Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Mrembo anaetamba kwasasa kwenye midundo ya Amapiano, rekodi mbili zilizompa nyota 5 mabegani
Share
Notification Show More
Latest News
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 27, 2023
March 27, 2023
Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM
March 26, 2023
Hhayuma afunguka uwepo wa Baraza la ardhi Hanang, ‘Nilitaka kushika Shilingi ya Waziri Bungeni’
March 26, 2023
Picha: Mfugaji akamilisha Mjengo wake, aishukuru Kampuni ya Asas kwa kufanikisha ndoto zake
March 26, 2023
Waziri Jafo acharuka, atoa maagizo Mbweni “Wachimba Mchanga, kamata gari, hatua zichukuliwe”
March 26, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Habari za Mastaa > Mrembo anaetamba kwasasa kwenye midundo ya Amapiano, rekodi mbili zilizompa nyota 5 mabegani
Habari za Mastaa

Mrembo anaetamba kwasasa kwenye midundo ya Amapiano, rekodi mbili zilizompa nyota 5 mabegani

January 31, 2022
Share
2 Min Read
SHARE

Ni mrembo mwenye umri wa miaka 29 mzaliwa wa Afrika Kusini, Ami Faku ambae kwasasa ndie anaetamba kwenye charts hususani kupitia muziki wao uitwao Amapiano.

Mrembo huyo ni wa muda mrefu lakini amejipatia umaarufu baada ya kusikika kwenye rekodi mbili zilizotayarishwa na Dj Maphorisa & Kabza De Small.

Kabla hajaingia mikononi mwa Kabza na Dj Maphorisa mrembo huyo tayari ameshafanya rekodi kadhaa tu zikiwemo Into Ingawe, Mali na nyinginezo.

Unaambiwa kwasasa nchini Afrika Kusini Ami Faku ameingia kwenye rekodi ya kuwa msanii wa kwanza wa kike anaesikilizwa  kwenye charts mbalimbali huku akifuatiwa Sho madjozi, Nia pearl, Bontle Smith, Busiswa, Kamo Mphela, Sha Sha,  Nokwazi na wengineo

Inaelezwa rekodi zilizofanya Ami kukaa kwenye charts mbalimbali ni nyimbo mbili zinazotambulika kwa jina la Abalele na Asibe Happy.

Abalele na Asibe Happy ndio rekodi pendwa zilizompa nyota 5 mabegani na kumpatia mashabiki wapya hususani kutokea Tanzania, Uganda, Kenya, Rwanda na sehemu nyinginezo.

.

Na kama unavyoona hapa Ami ni wa moto kwelikweli namna alivyosikilizwa kwenye hii platform iitwayo Spotify ambapo wameweka rekodi zake.

1.Abalele ni wimbo aliyoshirikishwa na wakali wawili Kabza & Dj Maphorisa unaweza ukabonyeza play kuusikiliza

2.Asibe Happy ni rekodi ya pili inayoendelea kumuweka katika charts mbalimbali unaweza ukabonyeza play kuusikiliza.

 

Hapa nimekusogezea ushuhudia kwa mara ya kwanza akiziimba live Abalele na Asibe Happy huko nchini Afrika Kusini

 

 

 

 

 

 

You Might Also Like

Sina Tatizo na yeye, mteule wa Rais hanuniwi” Steve Nyerere Kafunguka (+video)

Rihanna & Asap rocky waipanga ndoa yao ya siri , barbados hivi karibuni

MTOTO WA BECKHAM APOST SAA YA MIL 97, ANYWA POMBE NA BABA YAKE

MADONNA AWAJIBU MASHABIKI MUONEKANO WAKE MPYA BAADA YA UPASUAJI!

Exclusive: Dully Vanny kwa uchungu azungumzia video chafu aliyotajwa, amtaja diamond na mama yake

TAGGED: Afrika Kusini, Ami Faku
Edwin TZA January 31, 2022
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Marioo afunguka suala la kukosa mirabaha, Davido kumfollow ‘Collabo’ (video+)
Next Article Aristote amuomba msamaha Wema kwa kauli yake iliyomkwaza ‘Sikutegemea’ (video+)
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 27, 2023
Magazeti March 27, 2023
Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM
Top Stories March 26, 2023
Hhayuma afunguka uwepo wa Baraza la ardhi Hanang, ‘Nilitaka kushika Shilingi ya Waziri Bungeni’
Top Stories March 26, 2023
Picha: Mfugaji akamilisha Mjengo wake, aishukuru Kampuni ya Asas kwa kufanikisha ndoto zake
Top Stories March 26, 2023

You Might also Like

Top Stories

Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM

March 26, 2023
Top Stories

Hhayuma afunguka uwepo wa Baraza la ardhi Hanang, ‘Nilitaka kushika Shilingi ya Waziri Bungeni’

March 26, 2023
Top Stories

Waziri Jafo acharuka, atoa maagizo Mbweni “Wachimba Mchanga, kamata gari, hatua zichukuliwe”

March 26, 2023
Top Stories

Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Mwanza limefanya misa Takaridu ya Kumuombea Hayati JPM

March 26, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?