Habari za Mastaa

Mrembo Bey T alivyotamba na kiswahili kwenye mdundo wa Amapiano akiwa na Boohle

on

Ni Mrembo kutokea nchini Kenya, Bey T ambapo time hii ametuletea video ya wimbo wake mpya ‘Utanicheza aliyoshirikiana na mrembo kutokea nchini Afrika Kusini, Boohle.

Unaweza ukabonyeza play kuutazama hapa

Tupia Comments