Ad
Ad

Top Stories

Mrembo mdogo anaingiza Mamilioni “nalala shambani, nimeajiri watu wazima” (+video)

on

Kutana na Jackline Charles ambaye ni Mwanafunzi wa Chuo Kikuu alieamua kuwekeza kwenye kilimo cha mahindi, matikiti, nyanya na ufugaji wa samaki kisasa ambapo anatuambia kuwa yeye alipoona wazazi wake wana mashamba Kisarawe na hayatumiki akachukua hatua kuongea nao ili yeye aweze kuyafanyia kazi.

“Nilipoona tuna shamba nikaona nina uwezo wa kuwashauri kitu kwa wazazi tukafanya kitu kwa faida ikiwemo kuzalisha chakula chetu sisi na kingine tuuze, nilipoona tuna shamba nilimshauri Baba, kuna vijana wazazi wao wana fursa wana shamba, au biashara zingine lakini watoto hawawapi mawazo wazazi wao, unakuta mzazi anastaafu ana kitu” Jackline Charles

Soma na hizi

Tupia Comments