Kutoka Mlandizi, Mkoani Pwani nakukutanisha na Witness Raphael Mhitimu Chuo Cha Ustawi wa Jamii ngazi ya Diploma Program ya Social Work ambaye ni Mlemavu aliyefanikiwa kupata nafasi ya kuiwakilisha Tanzania kwenye mashindano ya urembo kwa wasichana wanaotumia kiti mwendo Duniani ( Miss Wheelchair).