Habari za Mastaa

Mrembo Tems kutoka Nigeria katuletea EP yake, isikilize hapa

on

NI Staa kutokea Nigeria mrembo Tems ambae time hii ameachia rasmi EP Yake iitwayo If Orange was a Place.

EP hiyo imebeba nyimbo nne unaweza ukasikiliza hapa

Tems- Replay

Tems – Avoid Things (Audio)

Tems – Found (Audio) ft. Brent Faiyaz

Tems – Crazy Tings (Audio)

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments