Ad
Ad

Top Stories

Mrithi wa Bashiru Ikulu aweka wazi alivyopokea taarifa za uteuzi (+video)

on

Katibu Mkuu Kiongozi mpya Balozi Katanga akiwa Ikulu leo amesema “Leo nilikuwa nirudi Japan kwa maelekezo ya Katibu Mkuu Wizara ya nchi za nje na tiketi ile ya Japan ikabidi niahirishe kwa sababu jana majira ya saa 6 nikachukuliwa natakiwa kufuata maelekezo nenda  huku, ongoza huku nikafika uwanja wa ndege paki gari pale,  mambo mengine utayakuta hukohuko Dodoma.” Katanga

“Nilikuwa naangalia televisheni nikayajua kabla sijafika Dodoma nashukuru na walioniongoza nikawahi kufika katika shughuli hii, kazi ya Katibu Mkuu Kiongozi ni kuunganisha ili Serikali ifanye kazi na hizi Wizara na Taasisi zake zimewekwa ili kuleta ufanisi na utaaluma,” Katanga

Soma na hizi

Tupia Comments