Rais Dkt. John Magufuli amemteuwa Mbunge wa Ilala Dar es salaam Mussa Azzan Zungu kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira.
Rais pia amemteuwa aliyekuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira George Simbachawene kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani.