Top Stories

Dakika 8 za Augustino Mrema kuhusu Rais Magufuli, umri wake na kesi Mahakamani

on

Augustino Lyatonga Mrema alikua mgombea Ubunge 2015 jimbo la Vunjo Kilimanjaro ambalo lilichukuliwa na James Mbatia wa NCCR, kwenye hii audio hapa chini ukibonyeza play utamsikiliza kila alichoongea ikiwemo kumpigia debe Dr. Magufuli wakati wa kampeni za Urais 2015, yeye kwenda Mahakamani na pia mambo ya Dr. Magufuli yaliyomgusa.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments