Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Utatamani kujua maamuzi yaliyotangazwa leo Mahakamani kwenye ile kesi ya Mrema na Mbatia
Share
Notification Show More
Latest News
Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama
February 2, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 2, 2023
February 2, 2023
Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha
February 2, 2023
Watu 60809 wapata Elimu ya Sheria Morogoro
February 2, 2023
Video: Mama amwaga machozi mbele ya Mwenyekiti wa umoja wa UVCCM, Rais Samia amtumia ujumbe huu
February 2, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > Utatamani kujua maamuzi yaliyotangazwa leo Mahakamani kwenye ile kesi ya Mrema na Mbatia
Mix

Utatamani kujua maamuzi yaliyotangazwa leo Mahakamani kwenye ile kesi ya Mrema na Mbatia

April 4, 2016
Share
3 Min Read
SHARE

Nani mbunge halali wa Vunjo? kumbuka baada ya uchaguzi mkuu mwaka 2015 James Mbatia alitangazwa mshindi wa jimbo la Vunjo ambalo lilikua chini ya Mrema kipindi kilichopita, baada ya huo ushindi Mrema alifungua kesi Mahakamani baada ya kudai amechezewa mchezo mchafu na yeye ndio alistahili kuwa mshindi.

Kesi ikaendelea mpaka leo April 4 2016 maamuzi mapya kutangazwa kwamba Mahakama kuu kanda  ya Moshi imeridhia makubaliano yaliyofikiwa kati ya Mbunge wa Vunjo James Mbatia na Agustino Mrema hivyo Mahakama chini ya jaji  Lugano Mwandambo imeridhia shauri hilo kuisha na kwamba James Mbatia ndiye Mbunge halali wa Vunjo na Mrema atatakiwa kulipa sehemu ya gharama za mawakili wa Mbatia shilingi Milioni 40.

Mbatia 2

Mrema hakuonekana Mahakamani leo na aliwakilishwa na Wakili wake January Nkobogo ambapo James Mbatia aliyehudhuria Mahakamani leo alisema yafuatayo >>> ‘siku ya leo tumeandika historia mpya hasa kwa jimbo letu la Vunjo, kwa kuwa ukweli ni msingi wa haki na Wanasheria wetu sita waliokua wananitetea mimi‘

‘Baada ya mlalamikaji Mzee wetu Mrema kufikia hatua ya kutoa ushahidi Mahakamani baada ya ushahidi alioutoa Mahakamani  na maswali aliyoulizwa yeye mtu mzima akaona upepo sio mzuri kwa upande wake, alipoliona hilo kiutu uzima baada ya kushauriwa na kuona jasho lililomtoka Mahakamani wiki iliyopita akaona hali inazidi kuwa mbaya upande wake‘

Mbatia 3

James Mbatia kwenye sentensi nyingine amesema >>> ‘Ndugu Mrema amekubali au kukanusha yale yote aliyoleta Mahakamani na ushahidi wake wote aliosema Mahakamani na malalamiko dhidi yangu, Wanavunjo, dhidi ya taasisi za kidini yooote ameyakanusha kwenye hati ya makubaliano, hilo ndio lilikua la msingi ameyakanusha na amesaini mwenyewe’

IMG-20160404-WA0043

‘La pili, Mrema amekubali kuwa James Mbatia ndio mbunge halali aliyechaguliwa jimbo la Vunjo, swala la tatu alilokubali ni kweli tungeweza kumdai gharama kubwa, mimi binafsi nimeingia gharama kubwa ikiwemo ya usafiri toka November 2015 alivyoleta shauri hili Mahakamani, sijamdai gharama kwa upande wangu hata senti moja, nimemsamehe kama kawaida yangu‘ – James Mbatia

Cha kumalizia Mbatia amesema ‘Kuna gharama kubwa ambazo ziliingia upande wa jopo lote la Mawakili na amekubali yeye mimi nilipe asilimia 50 ya gharama za mawakili na yeye alipe 50, kwahiyo Mrema amekubali kulipa Mawakili sehemu tu ya gharama ya MILIONI 40 kwa Mawakili wetu na ni agizo la Mahakama na imeingia Mahakamani, kwa hatua ya kwanza MILIONI 15 Mawakili wetu watazipata kwa sababu zipo Mahakamani tayari aliziweka deposit, May atalipa nyingine 15 na kabla ya June atalipa 10 zilizobaki na asipofanya hivyo ni kifungo’

MSIKILIZE JAMES MBATIA ZAIDI AKIIONGELEA HII BONYEZA PLAY HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

You Might Also Like

Fredy Lowassa akabidhi vifaa vya shule kwa waliofauli 2023

Gynah ni mwimbaji wa kimataifa kenye usiku wa Kahawa

PICHA: Jerry Muro akabidhi madarasa 29 kwa RC Singida

Samsung wafungua duka lao ndani ya Palm village Mikocheni

Hatimaye Miss Tanzania 2020 akabidhiwa zawadi yake

TAGGED: Breaking news, Stori kubwa
Edwin TZA April 4, 2016
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VIDEO: Kama uliyakosa magoli ya Yanga vs Kagera Sugar April 3 2016 Full Time 3-1 ninayo hapa
Next Article Kingine kilicho-trend leo ni hii picha ya Davido na Wizkid pamoja
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama
Top Stories February 2, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 2, 2023
Magazeti February 2, 2023
Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha
Top Stories February 2, 2023
Watu 60809 wapata Elimu ya Sheria Morogoro
Top Stories February 2, 2023

You Might also Like

Top Stories

Alhamisi ya TBT: Video 10 za kitambo kutokea Marekani hautozijutia kuzitazama

February 2, 2023
Top Stories

Utaipenda: Muonekano mpya wa Ilala, namna Bilioni 120 ilivyoibadilisha

February 2, 2023
Top Stories

Video: Mama amwaga machozi mbele ya Mwenyekiti wa umoja wa UVCCM, Rais Samia amtumia ujumbe huu

February 2, 2023
Top Stories

liganga na Mchuchuma ngoma nzito, Waziri akubali hoja za Askofu Gwajima

February 2, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?