Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Mrema astaafu Bodi ya PAROLE, amshukia vikali Waziri Lugola (+video)

on

Leo July 16, 2019 Mwenyekiti wa Bodi ya Parole aliyemaliza muda wake, Augustino Mrema amefunguka jinsi alivyochelewa kupata Ofisi kutokana na Waziri wa Mambo ya Ndani kuchelewa kuteua baadhi ya Wajumbe.

Mremba ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama cha TLP amesema “Mwenyekiti aliteuliwa na mheshimiwa Rais tarehe 16 Julai, 2016 wakati Waziri wa Mambo ya Ndani aliteuwa wajumbe wawili wa Bodi tarehe 7 Decemba, 2016 takribani miezi sita baadaye, hivyo nilikaa miezi sita bila kazi nadhurura huko barabarani waandishi wakawa wananifatilia kwamba Ofisi yako ipo wapi,”

MSTAAFU KIKWETE MASHAMBA YAKE KUPANGIWA MATUMIZI, RIDHIWAN AWEKA WAZI

Soma na hizi

Tupia Comments