Amplifaya Top10

Kwanini Mr. Nice anafanya muziki kwa Nyodo? stori iko hapa….

on

Inawezekana kabisa haujamuona Mr Nice kumiliki zile chart za Top 20 za radio lakini hajakata tamaa ya kutafuta maisha ana mambo yake mengine anayoyafanya tofauti na muziki.

Mr Nice anasema kwasasa amejihusisha kwenye miradi ya ufugaji wa kuku pamoja na kilimo, ila  kwenye headlines za muziki amesema  kwamba anaufanya kwa nyodo,..kumsikia mwenyewe na sababu zake basi unaweza kubonyeza play kwenye hii video hapa chini.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Tupia Comments