on air with millardayo

OnAiR with Millard Ayo: Kuna watu wamemkosoa Peter Msechu hajui… amewataja na kusema kilichofata. (video)

on

Peter Msechu ni mwimbaji wa bongofleva ambaye headlines zake zilianzia kwenye BSS, kisha PROJECT FAME na baadae akarudi kwenye mzunguko wa bongofleva, kuna watu waliomkosoa kwamba hajui kuandika nyimbo na amewataja na kusema kinachofata.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line yatiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa>>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments