AyoTV

Ulipitwa na kituko cha Majambazi Moshi kuachia risasi na kuiba mkate wakidhani ni mamilioni? full stori ninayo hapa

on

Ni tukio ambalo lilitokea Moshi Kilimanjaro ambapo Majambazi wawili wakiwa na Pikipiki walimvamia muuza duka Beatrice wakati akirudi nyumbani usiku wakiamini amebeba pesa kwenye mfuko, stori zaidi bonyeza play kwenye hii video.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments