AyoTV

VIDEO: Msami alivyotambulisha wimbo wake mpya kwenye Dawati Concert Dar Live

on

Usiku wa August 13 2016 mkuu wa wilaya ya Handeni Tanga  Godwin Gondwe aliaandaa tamasha lililoitwa Dawati Concertl kwa lengo la kuwakutanisha wakazi wa Dar es salaam, tamasha  lisindikizwa na wakali kutoka Bongoflevani Fid QAY, Stereo, Ben Pol, Barnaba, Msami pamoja na  Mfalme wa muziki wa Singeli Msaga Sumu.

Mkali wa bongo flava Msami alitumia time hiyo kuuachia mdundo wake mpya kupitia shage hiyo..

ULIIKOSA HII EXCLUSIVE YA MSAMI KUHUSU IRENE UWOYA

Soma na hizi

Tupia Comments