Habari za Mastaa

Msanii kutoka lebo ya Rayvanny “Macvoice” katuletea hii video mpya

on

Ni Msanii mpya aitwae Macvoice ambae wiki kadhaa zilizopita alitambulishwa rasmi na Rayvanny kujiunga katika lebo yake iitwayo Next Level Music.

Sasa leo Septemba 29, 2021 msanii huyo ametuletea video mpya ya wimbo wake wa kwanza uitwao Nenda, unaweza ukabonyeza play kuutazama kisha usisahau kuandika chochote ili mkali huyo akisoma ajue mlichomuandikia.

MWANAMKE AKATAA NDOA KANISANI “ALIJUA MPENZI WAKE NI MFANYAKAZI WA BENKI KUMBE DEREVA TAXI”

Soma na hizi

Tupia Comments