Habari za Mastaa

Msanii wa Nigeria Burna Boy kusikika kwenye remix ya ‘Jerusalem’ ya Master KG, hiki ni kionjo chake

on

NI Headlines za Master KG kutokea Afrika Kusini ambae kwasasa anaendelea kushikilia rekodi ya kusikilizwa na kupendwa kwa wimbo wake uitwao Jerusalem aliyomshirikisha Nomcebo huko Afrika Kusine.

Wimbo huo uliowekwa kupitia mtandao wake wa Youtube  Dec 13, 2019 umeweza kutazamwa na watu zaidi duniani Milioni 20,690,854

Kwasasa hakuna anaebisha kuwa ukienda BAR, CLub au maharusini lazima wimbo huo uchezwe, sasa habari nyingine mpya ninayotaka kukusogezea ni kwamba mkali kutokea Nigeria Burna Boy amesikia katika remix ya wimbo huo.

Unaweza ukabonyeza play hapa kusikiliza kionjo cha Burna Boy ambapo amesikika kuwepo katika remix ya Jerusalem.

ULIIKOSA HII YA CHUCHU HANS KUFUNGUKA KUHUSU RAY KUTOMCHANGIA CHOCHOTE KATIKA KUFANIKISHA HIKI ALICHOKIFUNGUA, BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments