Burudani

Msanii wa nigeria Davido kaidondosha album yake mpya iitwayo ‘A Good time’

on

NI Headlines za staa wa Nigeria, Davido ambae jana Novemba 21, 2019 alikuwa akisheherekea siku yake ya kutimiza miaka 27, sasa leo Novemba 22, 2019 ameichia rasmi album yake aliyoipa jina la ‘A Good Time’

Huu Indio muonekano wa cover ya Album yake iitwayo A Good Time

Kuanzia sasa Album hiyo inapatikana katika platform mbalimbali

ULIIKOSA HII YA MKENYA KUFUNGUKA ‘NAWEZA NISIURUDISHE WIMBO WA UNO BASI MSIKILIZE HAPA

Soma na hizi

Tupia Comments