Ni Headlines za mkali kutokea nchini Nigeria, Rema ambae time hii ameingia katika vichwa vya habari baada ya kuonekana kwneye picha ya pamoja akiwa studio na Chris Brown.
Hapo awali ilielezwa kuwa Rema nchini kwaajili ya kumalizia maandalizi ya album yake iitwayo Rave & Roses na huenda Chris Brown akawa miongoni mwa wasanii watasikika katika album hiyo mpya.
Mashabiki wa Rema mkae mkao wa kuipokea hii collabo mpya itakayokujia hivi karibuni.
Kwasasa anatamba na kibao chake kipya kiitwacho Calm Down isikilize na kuitazama hapa