Mix

Msanii wa Nigeria Tiwa Savage afiwa na baba yake

on

Ni Msanii kutokea Nigeria mrembo Tiwa Savage ambae kupitia ukurasa wake wa instagram amewajulisha mashabiki wake kwa kumpoteza baba yake mzazi aliefariki mnano July 19, 2021.

Staa huyo kupitia ukurasa wake aliandika..’Early hours of this morning you made a peaceful transition. You fought till the very end, you really fought daddy, it’s been rough for you these past couple years but you are resting now. This is tough on me, I’m so numb, so weak.Rest In Perfect Peace my King’– Tiwa Savage

.

VANESSA MDEE AJITOKEZA APINGA WANAOMSEMA KAPATA MTOTO ADAI WANAMPANIKISHA MAMA YAKE

 

INTERVIEW: NANDY, MEENA ALLY NA MONI BAADA YA KUTUA ZANZIBAR NANDY FESTIVAL, WAFUNGUKA HAYA

Tupia Comments