Habari za Mastaa

Taarifa ya kifo na mazishi ya mchekeshaji mzee Dude.

on

msaniiiMzee Dude msanii wa tasnia ya maigizo toka kundi la Futuhi linalorusha kazi zake kupitia Star TV amefariki dunia jana saa 11 jioni akipatiwa matibabu katika Hospitali ya  Bugando ya jijini Mwanza.

Marehemu mzee Dude alilazwa mara baada ya kuzidiwa ugonjwa wake wa muda mrefu aliokuwa nao wa figo kushindwa kufanya kazi.
Mzee Dude alikuwa mchekeshaji na atazikwa leo jijini Mwanza majira ya alasiri.

R.I.P

Tupia Comments