Habari za Mastaa

Waandaaji wa Miss Mbeya Dream FM wazungumzia kumpa Miss bodaboda

on

Leo May 6, 2019 Moja ya taarifa iliyo-trend mtandaoni weekend hii ni ya Miss Mbeya kupewa zawadi ya bodaboda, millardayo.com inakusogezea taarifa iliyotolewa na Kituo cha Redio cha Dream FM ambayo wametoa ufafanuzi ishu ya kumpa Mshindi wa Shindano la Miss Mbeya zawadi ya bodaboda.

MSHINDI WA MISS MBEYA AKABIDHIWA ZAWADI YA PIKIPIKI ‘BODABODA’

Soma na hizi

Tupia Comments