Top Stories

Msemaji Mkuu wa Serikali afunguka “Tumeongeza marubani watanzania 100”

on

Ni Agosti 28, 2021 Msemaji Mkuu wa Serikali, Ndg. Gerson Msigwa amekutana na vyombo vya habari na hapa kazungumza kuhusu Serikali kuongeza marubani 100 ambapo hapo awali shirika la Ndege ATCL lilikuwa na Marubani  watanzania 11.

”Kupitia ATCL peke yake baada ya kununua Ndege, nchi yetu hivi sasa imeongeza idadi ya marubani Watanzania kutoka 11 mpaka 100, ilishafika mahali hapa Tanzania kila Ndege ukipanda Rubani ni mgeni lakini sasa kuna vijana wetu”-Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa

 

MCHUNGAJI ALIYEGOMA KUPELEKA WATOTO SHULE AKIDAI MUNGU ANAZUIA,AHUKUMIWA KWENDA JELA

 

Soma na hizi

Tupia Comments