Top Stories

Msemaji wa Serikali akanusha vifo 50 kwa siku juu ya Janga la Corona nchini

on

Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania na Katibu Mkuu Wizara ya Habari Dkt.Hassan Abbasi ameikosoa vikali televsheni  NTV Kenya na kusema wamechapisha taarifa za uongo baada ya kudai kuwa kwa siku ya jana April 30,2020 pekee wamefariki Watu 50 katika Mkoa DSM kutokana na corona.

“Huu ni uandishi au “uhandisi” wa habari?, inasikitisha kuona jinsi NTV Kenya inavyokuwa wakala wa uongo na uzushi, nawakumbusha wazandiki hawa kuenzi misingi ya taaluma badala ya umaamuma“-Dkt. Abbasi

KIFO CHA WAZIRI MAHIGA CHA MLIZA BARAKA THE PRINCE, AKUMBUKA WALIVYOKUTANA

 

Soma na hizi

Tupia Comments