Top Stories

Msemaji wa Serikali kafunguka ‘Hakuna sheria ya kufungia Magazeti’

on

Msemaji Mkuu wa Serikali, na Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO, Ndugu Gerson Msigwa akihojiwa kwenye kipindi cha Clouds 360 cha Clouds TV amefunguka sheria zilizowekwa kwenye uchapishaji wa Magazeti.

“Sheria haituambii tufungie magazeti inasema inaweza kutowapa leseni au kufuta leseni. Sasa hivi hatufungii chombo cha habari kinapewa leseni ya kufanya kazi natumaini vyombo vya habari havitavunja sheria kwa sababu hizi sheria zimewashirikisha wadau wa habari. Atakayevunja sharia hatapewa leseni”- Gerson

“Kuhusu magazeti kufunguliwa Mh. Rais Samia Suluhu Hassan ameshatoa maelekezo wale ambao wamemaliza adhabu zao wapewe leseni waendelee na kazi zao na mchakato unaendelea” Msemaji Mkuu wa Serikali”- Gerson Msigwa

CCM WAIBUKA NA MAKATO MIAMALA “ILANI IMEELEKEZA MAPATO KUPITIA MIAMALA YA SIMU”

 

Tupia Comments