Michezo

Msemaji wa Simba SC afunguka baada ya ubingwa (video+)

on

Usiku wa January 13, 2022, Simba SC  wameibuka Mabingwa wa Kombe la Mapinduzi 2022 baada ya kuifunga Azam FC kwa goli 1-0 .
Katika mchezo wa fainali uliyochezwa Aman Unguja, goli pekee la Simba SC lilifungwa dakika ya 56 kwa mkwaju wa penati uliowekwa wavuni na Meddie Kagere.
Hapa nimekusogezea ufahamu alichokizungumza Msemaji wa Simba SC Ahmed Ally baada ya ubingwa.

MORRISON BAADA YA UBINGWA, KISWAHILI CHAKE TU NDIO KINAFURAHISHA

Tupia Comments