Top Stories

EXCLUSIVE: Mama Amber Rutty kafunguka mara ya kwanza kuvuja kwa video za utupu

on

Mama yake mkubwa wa Amber Rutty anayefahamika kwa jina la Asha Seif amefunguka kwa mara ya kwanza baadhi ya mambo ambayo hakuwahi kuyazungumza kwenye vyombo vya habari kuhusu video ya utupu ya Amber Rutty iliyosambaa mtandaoni huku akiweka uwazi kuwa yeye ndiye aliyemtolea dhamana nasiyo mchunganji kama inavyo sambaa mtandaoni.

Bonyeza PLAY hapa chini kutazama Full Interview.

NOMAA!! Amber Rutty na shela la Million 2 kitaa ‘Mume wangu amenunua’

Soma na hizi

Tupia Comments