AyoTV

Full VIDEO: Polisi DSM waongea kuhusu kukamatwa kwa Agness Masogange

on

Kamishna wa Polisi kanda maalum ya Dar es salaam Simon Sirro leo amekutana na waandishi wa habari na kutoa taarifa kuhusu ukamataji wa Watuhumiwa wa kuuza dawa za kulevya, utumiaji na usambaji wa dawa za hizo ambapo katika wapya waliokamatwa kwenye 17 mmoja wao ni Video Queen Agness Masogange ambaye alikamatwa February 14 2017.

Hii video hapa chini ina taarifa yote ya Polisi iliyotolewa leo February 16 2017

VIDEO: Diva alivyowahoji Jackline Wolper, Mose Iyobo na wengine kwenye jukwaa la Valentine, bonyeza play hapa chini kwenye hii video

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako Millard Ayo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments