Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Mbunge Sugu afutiwa hukumu iliyomuweka gerezani

on

Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya, imetengua hukumu iliyomfunga gerezani Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi (Sugu) na Emmanuel Masonga, kwa kile ilichoeleza kuwa ni ubatili wa mwenendo katika kesi hiyo.

SUGU AZUNGUMZA “WAMETENGUA HUKUMU, NI BATILI, TULIFUNGWA KIHOLELA”

Soma na hizi

Tupia Comments