Habari za Mastaa

“Mshahara wangu wa GMS wapewe Yanga, naogopa nitafukuzwa kazi” Ommy Dimpoz (+video)

on

Staa wa Bongofleva ambaye pia ni shabiki wa Simba Sport Club Omary Nyembo aka Ommy Dimpoz amewapa Yanga mshahara wake anayolipwa na Kampuni ya GSM hii ni baada ya kuwafunga gli 4 kwa moja.

MAGUFULI AWASIMAMISHA DIAMOND NA ALIKIBA BIFU YAO “PATANENI, NYINYI NI VIJANA” AWAPA SOMO

Soma na hizi

Tupia Comments