AyoTV

VIDEO: Bondia Thomas Mashali alivyozikwa leo Kinondoni Dar es salaam

on

Bondia wa Tanzania Thomas Mashali amezikwa kwenye makaburi ya Kinondoni Dar es salaam leo, aliuwawa usiku wa October 30 2016 Kimara Dar es salaam kwa kupigwa mapanga na mawe baada ya kuitiwa mwizi, tazama kwenye hii video hapa chini alivyozikwa.

KIFO CHA MASHALI: Saa chache kabla ya kifo kumkuta Bondia Thomas Mashali play hapa chini…

PROMOTA SIRAJI: Chanzo cha kifo cha Bondia Thomas Mashali anakiongelea hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments