Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: “Msiangalie mtu usoni kutoa Shahada ya Uzamili, Uzamivu” Mkenda
Share
Notification Show More
Latest News
Kamati Kuu ya CCM yachukizwa na hili, ‘Watumishi wa Umma wasiokuwa waadilifu wachukuliwe hatua’
April 1, 2023
Waziri Mkuu afunguka, ‘Dar, Kilimanjaro yaongoza kwa Viribatumbo’
April 1, 2023
Mfugaji aishukuru kampuni ya Asas, ‘Nasomesha wanangu, Asas ni msaada mkubwa kwetu’
April 1, 2023
Video: RC Shigella atoa tamkoa kufuatia Wananchi kuchoma kituo cha Polisi
April 1, 2023
Machinga wa Tegeta wafunguka ‘Usafi ni tatizo sokoni, tumepokea vifaa vya Milioni 5’
April 1, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > “Msiangalie mtu usoni kutoa Shahada ya Uzamili, Uzamivu” Mkenda
Top Stories

“Msiangalie mtu usoni kutoa Shahada ya Uzamili, Uzamivu” Mkenda

January 20, 2023
Share
3 Min Read
SHARE

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda ameitaka bodi mpya ya Tume ya Vyuo Vikuu (TCU) idhibiti utoaji shahada za uzamili na ile ya uzamivu ili zitolewe kwa waliokidhi vigezo na si vinginevyo.

Akizungumza jana wakati wa uzinduzi wa bodi hiyo, Profesa Mkenda alisema kuna uigiziaji machapisho kwa wanafunzi wa shahada za uzamili na wa uzamivu (PhD).

“Mna kazi kubwa sana ya kuhakiki ubora wa elimu unaotolewa ili iende sambamba na kudhibiti utolewaji wa shahada za uzamili na shahada ya uzamivu zitolewe kwa waliokidhi vigezo na si vinginevyo,” Profesa Mkenda.

Aliongeza: “Mkiwabaini wataje chuo alichosoma na msimamizi aliyemsimamia ikiwezekana muwatangaze ili kukomesha tabia hiyo. Kama mtu anataka Master’s au PhD afuate sheria zilizopo.”

Alisema bodi hiyo ina kazi kubwa ya kuwezesha na kudhibiti hivyo watumie nafasi hiyo kuifungua nchi katika sekta ya elimu.

“Msimwangalie mtu usoni kachapeni kazi, jambo la muhimu ni kuzingatia sheria na kutenda haki kwani bodi yenu ina kazi kubwa mbili; ya kwanza kuwezesha na pili ni kudhibiti, sasa kazi ya kudhibiti ina lawama sana na lazima mkubaliane hasa pale mnapotaka kutekeleza jukumu la kudhibiti hapo lazima mguse watu…

“Hivyo msiogope kwani kufanya hivyo itasaidia kuongeza ubora katika sekta yetu ya elimu hasa elimu ya vyuo vikuu ambayo ndio mhimili wa taifa,” alisema.

Aidha, alitaka kuangaliwa kwa sifa za wanaoomba kuwa wahadhiri wa vyuo vikuu kwa kutoangalia tu kiwango cha ufaulu (GPA), bali waangalie pia uwezo wao wa kutoa mawasilisho.

Ameitaka kuwezesha vyuo kufanya udahili na kuhakikisha elimu inayotolewa ina ubora na ufaulu uwe mzuri ili kutengeneza taifa lenye watu wasomi wanaokidhi vigezo.

“Bodi iende kusimamia ubora ili kuleta chachu kwenye elimu ya ngazi ya chini kwani wanafunzi wa vyuo vikuu ndio wanakwenda kufundisha wale wa ngazi za chini,” Waziri wa Elimu.

Pia ameitaka kuwezesha utambuzi wa vyuo vikuu vya nje ya nchi ikiwezekana kwenda kufanya uchunguzi kuhusu ubora na nafasi ya vyuo hivyo katika nchi zao ili kuwasaidia vijana wa Kitanzania wanapokwenda kusoma nje wasome katika vyuo bora na vyenye ushindani.

Mwenyekiti wa bodi hiyo, Profesa Penina Mlama alisema watatekeleza maelekezo yote ikiwamo kuifungua nchi kimataifa kwa kuwapeleka wanafunzi wengi kusoma vyuo vya nje ya nchi, kuongeza kasi ya udahili, na kusimamia ubora wa elimu inayotolewa na vyuo vikuu.

You Might Also Like

Kamati Kuu ya CCM yachukizwa na hili, ‘Watumishi wa Umma wasiokuwa waadilifu wachukuliwe hatua’

Waziri Mkuu afunguka, ‘Dar, Kilimanjaro yaongoza kwa Viribatumbo’

Mfugaji aishukuru kampuni ya Asas, ‘Nasomesha wanangu, Asas ni msaada mkubwa kwetu’

Video: RC Shigella atoa tamkoa kufuatia Wananchi kuchoma kituo cha Polisi

Machinga wa Tegeta wafunguka ‘Usafi ni tatizo sokoni, tumepokea vifaa vya Milioni 5’

TAGGED: \, TZA HABARI
Pascal Mwakyoma TZA January 20, 2023
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Mwalimu akutwa amefariki chumbani kwake
Next Article Arsenal yamsajili Trossard
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Kamati Kuu ya CCM yachukizwa na hili, ‘Watumishi wa Umma wasiokuwa waadilifu wachukuliwe hatua’
Top Stories April 1, 2023
Waziri Mkuu afunguka, ‘Dar, Kilimanjaro yaongoza kwa Viribatumbo’
Top Stories April 1, 2023
Mfugaji aishukuru kampuni ya Asas, ‘Nasomesha wanangu, Asas ni msaada mkubwa kwetu’
Top Stories April 1, 2023
Video: RC Shigella atoa tamkoa kufuatia Wananchi kuchoma kituo cha Polisi
Top Stories April 1, 2023

You Might also Like

Top Stories

Kamati Kuu ya CCM yachukizwa na hili, ‘Watumishi wa Umma wasiokuwa waadilifu wachukuliwe hatua’

April 1, 2023
Top Stories

Waziri Mkuu afunguka, ‘Dar, Kilimanjaro yaongoza kwa Viribatumbo’

April 1, 2023
Top Stories

Mfugaji aishukuru kampuni ya Asas, ‘Nasomesha wanangu, Asas ni msaada mkubwa kwetu’

April 1, 2023
Top Stories

Machinga wa Tegeta wafunguka ‘Usafi ni tatizo sokoni, tumepokea vifaa vya Milioni 5’

April 1, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?